GET /api/v0.1/hansard/entries/546826/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 546826,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/546826/?format=api",
    "text_counter": 256,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 691,
        "legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
        "slug": "aisha-jumwa-katana"
    },
    "content": "Nataka kuunga mkono na niseme kwamba ni jukumu letu sisi wote tuhakikishe kwamba Wabunge wenzangu Mswada huu umepita, upite na tuweze kuwa na sheria mwafaka ambayo itatusaidia sisi kama wazazi, na pia kama viongozi kutoka mashinani."
}