GET /api/v0.1/hansard/entries/549021/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 549021,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/549021/?format=api",
"text_counter": 144,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Shukrani Naibu Spika. Nasimama kuunga mkono Ripoti hii ambayo inasimamia umoja wa uti wa uchumi wa Kenya. Tutakapojenga huo mfereji wa kupitisha mafuta hiyo itakuwa ni njia moja ya kuokoa Wakenya kutokana na ajali nyingi ambazo zinatokana na magari ya kusafirisha mafuta."
}