GET /api/v0.1/hansard/entries/549022/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 549022,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/549022/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Pia imeonekana wazi kwamba sharti tuweze kufuata mipangilio ya sheria kwa kuhusisha Mkuu wa Sheria katika mipango ya zabuni za Serikali na miradi tofauti tofauti. Tukifanya hivyo, miradi haitatugharimu sana. Tutaweza kuepuka ule ufisadi mwingi ambao umeonekana ukiingilia miradi mikubwa, ambayo ni ya manufaa kwa nchi hii na kwa mwananchi kwa jumla."
}