GET /api/v0.1/hansard/entries/549023/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 549023,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/549023/?format=api",
"text_counter": 146,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Pia kuhusu huu mradi, ninaonelea kwamba tungeweza kuhamazishwa zaidi kuhusu faida ambazo zitatokana na huu mradi. Kwa mfano, tungeweza kusikia kwamba mradi huu utaweza kushukisha bei ya mafuta. Bei ya mafuta imetuumiza sana, hasa tukichukulia, kwa mfano, uwanja wa ndege. Kila wakati tunapoambiwa bei ya mafuta imeshuka, hakuna wakati tunaambiwa kuwa bei ya tikiti ya ndege imeshuka. Badala yake, inaongezeka mara dufu."
}