GET /api/v0.1/hansard/entries/549416/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 549416,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/549416/?format=api",
"text_counter": 214,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 758,
"legal_name": "Boy Juma Boy",
"slug": "boy-juma-boy"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii niunge mkono Mswada huu ambao ni muhimu sana. Ninawashukuru Maseneta wote waliochangia katika Mswada huu. Kwa hakika, kama umewasikia pamoja na wewe uliyekaa hapo kwa kiti, wamezungumza kinagaubaga. Aliye na masikio, asikie kwa sababu wakati mwingine kuna mtu ana masikio lakini hasikii. Unamwambia lakini hasikii! Ana macho lakini haoni! Kwa maoni yangu, Mswada huu, ingawa nauunga mkono, ni dawa ambayo haitibu homa, bali inapunguza makali tu. Lazima uende umeze Quinine . Mswada huu unaunda Kamati mbili ambazo zitakuwa Kamati ya Bunge la Kitaifa, na nyingine The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}