GET /api/v0.1/hansard/entries/549422/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 549422,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/549422/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "hii Katiba; Vipengele fulani vya Katiba lazima vibadilishwe. Tunasema maneno haya usiku na mchana. Kila siku tunaeleza maneno haya kwamba njia na mtu wa kutuokoa, hivi sasa, ni “Okoa Kenya.” Ndio maana tutabadilisha hii Katiba. Sijakataa kwamba Mswada huu hautaleta mabadiliko kidogo lakini itakuwa ni sawasawa na kutumia Panadol ambayo huondoa maumivu ilhali unataka kutibu ugonjwa wa malaria. Utapata nafuu kwa muda mchache. Kama tunataka kutibu ugonjwa huu mara moja ili utoke na uende, lazima tuibadilishe Katiba. Huo ni ukweli wa mambo hata tusipokubali haubadilishi chochote."
}