GET /api/v0.1/hansard/entries/549894/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 549894,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/549894/?format=api",
"text_counter": 36,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 758,
"legal_name": "Boy Juma Boy",
"slug": "boy-juma-boy"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Waswahili husema; “Ukiona mwenzako ananyolewa, tia kichwa chako maji.” Pia wanasema, “ukiona maji ya bahari yametulia, haimaanishi kwamba kina ni kifupi.” Kina chaweza kuwa kirefu sana. Nasema hivyo kwa sababu ninawaunga mkono waheshimiwa Karaba na Mutula Kilonzo, Jnr. Nimekaa hapa na ndugu yangu Sen. Dan Mwazo tukicheka lakini mipaka yetu ina matata. Kuna shida katika kaunti ya Kwale na Taita Taveta. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}