GET /api/v0.1/hansard/entries/550447/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 550447,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/550447/?format=api",
"text_counter": 303,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Sijui mwenzangu aliona ni heri yeye apatiwe nafasi ya kuchangia Hoja hii badala yangu, lakini basi haidhuru, nitaendelea. Mheshimiwa Abdirahman amependekeza na kusema mambo yaliyotokea leo asubuhi. Kilichoanzisha haya ni ripoti ambayo ilichapishwa na gazeti la Daily Nation kuhusu utendaji kazi wa Maseneta. Walitoa orodha ya majina ya Maseneta wanaofikiria kwamba wanawahudumia wananchi. Ripoti hiyo ina majina ya Seneta wa kwanza hadi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}