GET /api/v0.1/hansard/entries/551899/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 551899,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/551899/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwakulegwa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 101,
        "legal_name": "Danson Mwazo Mwakulegwa",
        "slug": "danson-mwazo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Ningependa kutoa taarifa kupitia Sheria za Bunge Nambari 45(2)(a). Natoa taarifa hii kwa sababu ninavyozungumza sasa, vijana katika mji wa Voi wanapanga njama za kuzua rabsha na matata barabarani. Hii ni kwa sababu mwanzo wa wiki hii, magazeti na vyombo vya habari vilitoa habari kwamba vijana zaidi ya 100 kutoka Tigania kule Meru, wameletwa katika mji wa Voi ili kuchukua kazi za vibarua katika reli inayojengwa sasa katika Kaunti yangu ya Taita Taveta."
}