GET /api/v0.1/hansard/entries/555454/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 555454,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/555454/?format=api",
    "text_counter": 211,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Muzee",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2225,
        "legal_name": "Daniel Kazungu Muzee",
        "slug": "daniel-kazungu-muzee"
    },
    "content": "Ningeomba pia tuelewane kitu kimoja. Nimeambiwa kwamba korokoro zetu ziko hali mbaya sana. Sasa nashindwa hivi: Inakuwaje mtu angependa kutoka gereza la Uchina aje katika gereza hapa? Tumeambiwa korokoro zetu ziko katika hali mbaya sana. Sasa, sijui kama Mswada huu utakuwa unawasaidia ama utazidi kuwapatia shida wakiletwa nyumbani. Kwa hivyo, ningeomba tuangazie sheria zetu na tuhakikishe kwamba hazitatumiwa vibaya. Mkuu wa Sheria ahakikishe kuwa haki inatendeka. Hatutaki atumiwe na watu wengine ili wapate nafasi ya kuwa huru tena."
}