GET /api/v0.1/hansard/entries/555455/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 555455,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/555455/?format=api",
    "text_counter": 212,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Muzee",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2225,
        "legal_name": "Daniel Kazungu Muzee",
        "slug": "daniel-kazungu-muzee"
    },
    "content": "Lakini jambo la muhimu ni hili: Ikiwa wewe ni Mkenya ama mgeni, tafadhali ukija hapa kwetu, zingatia sheria zetu. Na wewe Mkenya ndugu yangu, dada yangu, na mama yangu, ukienda nchi za nje, hakikisha umefuata sheria za nje vizuri ili usiingie katika mashakani. Itakuwa ni shida kwa sisi kuanza kufanya juu chini ili uletwe nyumbani. Pia, lazima ufikirie familia yako maanake wao ndio wanaumia zaidi. Wanalia kila siku. Wewe unapata shida kule nje na sisi hapa tunashindwa tutafanya nini."
}