GET /api/v0.1/hansard/entries/555494/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 555494,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/555494/?format=api",
    "text_counter": 251,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Nilikua nafikiri sionekani kwa maana niko mbali. Kumbe niko karibu sana. Nataka kuunga mkono Mswada huu. Ni vizuri sana kufikiria mambo ya wafungwa. Wengine wako katika nchi za nje na wengine wako katika nchi yetu. Ni vizuri mtu akiwa na shida, awe karibu na nyumbani. Nataka kuunga mkono. Mtu akipatikana na hatia akiwa katika nchi za nje, ni vizuri arudishwe nyumbani angalau atembelewe na familia yake. Hii ni kwa sababu hapa Kenya, wengi wanatembelewa. Ni vizuri kujua ya kwamba hata mtu akiwa na makosa, anawezwa kurekebishwa. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}