GET /api/v0.1/hansard/entries/555617/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 555617,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/555617/?format=api",
"text_counter": 19,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Kwa hakika Bodi hii inafanya kazi nzuri. Hata hivyo, haijatosheleza yale mahitaji kwa sababu wakati mwingine ni kama inakumbwa na hali ya ufisadi. Wengine wanawasilisha maombi yao ilihali hawafikiriwi kamwe. Na hawa ni watu ambao wanatoka katika jamii maskini hivyo basi wanauhitaji zaidi mkopo ili kujiendeleza kimasomo."
}