GET /api/v0.1/hansard/entries/555618/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 555618,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/555618/?format=api",
"text_counter": 20,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Vile vile, ingekua vyema iwapo mkopo huu ungeweza kuwafikia wanafunzi walioko katika vyuo vikuu vya kibinafsi. Kwa wakati huu unapata hawawezi kupata msaada huu na hata pia wale hawajachukuliwa na lile baraza la kuwachukua wanafunzi wa vyuo vikuu lakini wamejiunga na vyuo vikuu vya umma hawapati mkopo. Ingekua vyema pia nao wajumuishwa kwa sababu hawa wote ni Wakenya na wanastahili kufurahia matunda ya uhuru wa Jamhuri yao ya Kenya."
}