GET /api/v0.1/hansard/entries/555908/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 555908,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/555908/?format=api",
"text_counter": 310,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Jambo lingine ni kwamba siku hizi sisi wanaume tuna taabu sana ya kuoa akina mama. Ukisoma magazeti kila siku utaona kwamba akina mama wamekuwa wakiwapiga na hata kuwaua wanaume. Kuna wanaume ambao wanatafuta pesa kwa taabu sana. Wakati umepata pesa, mwanamke atasema eti lazima ufe ndio abaki na mali. Kwa mfano, angalia mambo yanayotendeka huko Nyeri, ambayo yamesimuliwa katika magazeti. Sisi wanaume tuna taabu. Ni lazima tutafute kufuli na mabati ili tujikinge kwenye nguo zetu ndiposa vitu vyetu visiende - imekuwa shida. Ona sasa huko Nyeri mtu aling’olewa “mizigo” yake na hali hiyo “mizigo” ndiyo inasaidia mama. Hiyo “mizigo” imesaidia kila mtu. Hiyo “mizigo” ndiyo inainua mtu. Hiyo “mizigo” ndio umetoka hapo lakini hawana heshima."
}