GET /api/v0.1/hansard/entries/556419/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 556419,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/556419/?format=api",
"text_counter": 170,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili nami nitoe mchango wangu kwa Ripoti hii ya Kamati ya Uwekezaji. Kiwanda hiki ambacho kuanzia mwaka wa 2007 - katika mahojiano na makubaliano ya Baraza la Mawaziri - ilikubalika wazi wazi kuwa kinahitaji kuboreshwa ili Serikali ya Kenya iwe na zile hisa zake theluthi hamsini na mwekezaji mpya aje achukue nafasi ya BP, Shell na Chevron, ambao ndio walikuwa wanashikilia hisa hizo nyingine. Jambo la kushangaza ni kuwa ombi lilipotumwa kwa mashirika mbalimbali ya ulimwengu, kati ya mashirika yaliyoomba kuingia na kumiliki hizo hisa, ilikuwa kampuni ya Essar kutoka Mauritius. Madhumuni ya Essar kutoka Mauritius kupatiwa nafasi ya kuingia na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}