GET /api/v0.1/hansard/entries/556422/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 556422,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/556422/?format=api",
"text_counter": 173,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, tunakioomba Kitengo cha Ufisadi kiwachunguze watu wote waliohusika na kuwachukulia hatua. Tunawajua watu hao. Hatutalala mpaka wote wanaohusika wachukuliwe hatua ya kupelekwa kortini na wanapopatikana na hatia, warudishe pesa za hicho kiwanda na pia wafungwe jela."
}