GET /api/v0.1/hansard/entries/557096/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 557096,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/557096/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Ombi letu ni hili: Katika kila kaunti, kuwe na ofisi ambayo imesajiliwa na ina msajili ambaye anaweza kuandikisha, kufunga ndoa na kupeana cheti. Nakubaliana na mawazo ambayo yalitolewa hapo awali kuwa mara nyingine, kulikuwa na watu bandia ambao walijitokeza wakaanza kufunga watu ndoa na kuwapatia vyeti. Lakini hilo halimaanishi watu wote waadhibiwe kwa ujumla. Tunaomba irudishwe pale ilipokuwa na makanisa yakubaliwe kutoa vyeti vya ndoa pale pale ambapo watu wanaamua waoane ama wafunge ndoa."
}