GET /api/v0.1/hansard/entries/557108/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 557108,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/557108/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Nafikiria sheria za zamani na za sasa haziwezi kulinganishwa kwa sababu mambo ya ndoa ni muhimu sana kwa wananchi na familia. Sijui ikiwa ni sheria haikutengenezwa vizuri kwa sababu, watu wanafunga ndoa lakini haimaliziki mwezi au mwaka kabla ya ndoa hiyo kuvunjika."
}