GET /api/v0.1/hansard/entries/557109/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 557109,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/557109/?format=api",
"text_counter": 127,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Mara nyingi, wananchi uhangaika kwa sababu ya sheria hiyo. Mwanaume anaweza kuoa wanawake wawili ama watatu, na wote wawe na vyeti. Ndiyo watu wanashangaa ikiwa sheria hiyo ni timilifu. Kuna ndoa ya kitamaduni, ambayo ningependa kuizungumzia. Katika jamii ya Wasamburu, unapofunga ndoa, hakuna mtu ambaye anaweza kuisimamisha. Hata uende wapi, hautaweza kuisimamisha. Jamii zote nchini zilikuwa namna hiyo. Hiyo ndiyo maana ya ndoa za The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}