GET /api/v0.1/hansard/entries/557112/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 557112,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/557112/?format=api",
    "text_counter": 130,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Kwa hivyo, ningependa tuiunge mkono sheria hii na tuiunganishe na sheria za kitamaduni kwa sababu watu wanafurahia ndoa za kitamaduni zaidi. Kwa hivyo, naunga mkono Hoja hii ili tuweze kuingalia sheria hii vizuri ili watu waache kuoana kwa njia ambazo hazieleweki."
}