GET /api/v0.1/hansard/entries/557127/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 557127,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/557127/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Amolo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 631,
        "legal_name": "Rachel Ameso Amolo",
        "slug": "rachel-ameso-amolo"
    },
    "content": "Pia imekuwa gharama kwa wale wachungaji au wale wanaosimamia hizo ndoa kutoka kule mashinani tena kuja Nairobi kuwatafutia watu vyeti hivyo. Tungeomba gharama hii iondolewe kabisa. Sioni kwa nini gharama iwe pale kama mimi mwenyewe nimekubali kuolewa ama nimetosha kile kiwango cha kuolewa. Namuomba ndugu yangu, Mhe. Injendi, ambaye ameileta Hoja hii muhimu sana, aendelee zaidi ili tuondoe gharama inayowakabili watu wawili wanapokubaliana kuoana."
}