GET /api/v0.1/hansard/entries/558466/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 558466,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/558466/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Mheshimiwa Spika, ninasimama kuunga mkono Hoja hii ya kumwezesha Mhe. Ferdinand Waititu kuingia kwenye Kamati mbili; moja ya kusimamia wafanyakazi na nyingine ya kusimamia mambo ya Bajeti. Kulingana na Kanuni za Bunge hili Kipengele cha 173, Mbunge huyu ambaye alichaguliwa hive majuzi kama Mbunge wa Kabete ana haki ya kuhudumu katika Bunge hili la Kumi na Moja akiwa katika Kamati mbili."
}