GET /api/v0.1/hansard/entries/560346/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 560346,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/560346/?format=api",
    "text_counter": 171,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Zani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13119,
        "legal_name": "Agnes Zani",
        "slug": "agnes-zani"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika kwa nafasi hii. Ni vyema kuangalia mambo yanayotuhusu kama Seneti na pia taifa. Taifa linafaa kuelewa kazi tunayoifanya. Sasa tuna nafasi ya kuona jinsi Katiba tuliyopitisha inavyofanya kazi. Bw. Naibu Spika, watu wengi waliisoma Katiba hii lakini hawakuielewa. Ni zaidi ya miaka miwili tangu tulipoanza kutekeleza Katiba hii, tumeiangalia na kuona pengo hapa na pale jinsi Bunge la Taifa na Seneti yanavyofanya kazi yake. Kwa upande wa sheria, tumeona jinsi mambo yanafaa kufanywa. Miswada kadha wa kadha imepitishwa na Bunge hizi mbili. Katika nchi ambazo zina bunge mbili kama sisi, kila bunge lina The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}