GET /api/v0.1/hansard/entries/560360/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 560360,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/560360/?format=api",
    "text_counter": 185,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Zani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13119,
        "legal_name": "Agnes Zani",
        "slug": "agnes-zani"
    },
    "content": "Mcheza vyema hatuzwi kwao. Hapa tunajaribu kuangalia njia sanifu ya kusema nchi tofauti bila kuiita “America” kwa kimombo. “Amerikana” ndio karibu zaidi na jina “America.” Rwanda haina shida kwa sababu ni matamshi ya Kibantu. Kwa hivyo, inaingiliana sawa kwa sawa. Katika upanuzi wa lugha ya Kiswahili kuna maneno ambayo ni ya Kizungu. Kwa mfano, tunaweza tafsiri “Senate” kama “Seneti.”Unaongezea kuweka mdundo unaohitajika, lakini bado unahakikisha kwamba umeisema kisanifu. Asante. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}