GET /api/v0.1/hansard/entries/561069/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 561069,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/561069/?format=api",
    "text_counter": 75,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "kukubaliana na mipango kadha wa kadha ya Serikali halafu hapo katikati unapata fedha hizo hizo zinabadilishwa na kutumiwa kwa mipango mingine ambayo hatukuidhinisha hapa Bungeni. Bunge lazima liwe macho na liangalie kuwa shughuli hizi zinafanywa kulingana na yale tumekubaliana hapa. Niliposikiza kwa uangalifu Mwenyekiti akitoa taarifa yake, alisema kuwa kuna fedha ambazo zimeombwa ili ziongezwe katika Makadirio haya kwa kiwango cha Ksh4 bilioni. Lakini tunakubaliana na Mwenyekiti kuwa tukifanya hivyo, tutaongeza gharama kubwa kwa Serikali. Itakuwa na deni kubwa na hatutaweza kulimudu. Itakuwa ni shida kubwa sana kwa Serikali. Ndio maana Mwenyekiti ameomba kuwa hela ambazo zimeombwa zifikiriwe wakati wa"
}