GET /api/v0.1/hansard/entries/561961/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 561961,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/561961/?format=api",
"text_counter": 205,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nakara",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2926,
"legal_name": "John Lodepe Nakara",
"slug": "john-lodepe-nakara"
},
"content": "Ajali nyingi siku hizi zinatendeka kwa sababu ya mambo ya boda boda . Sehemu nyingi ambazo tumetoka utakuta kwamba mtu akipata ajali, kwa mfano akiumia goti ama kichwa lazima asafirishwe kutoka Lodwar hadi Eldoret ama Nairobi. Tukiwa na kitengo kama hiki cha watu mahututi kwa kila eneo la Bunge ni rahisi kupeleka huyu mtu mahali pale. Lazima tuhakikishe ya kwamba kwa wakati kama huu ambao vijana wetu wengi wanapata riziki yao kwa"
}