GET /api/v0.1/hansard/entries/561963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 561963,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/561963/?format=api",
"text_counter": 207,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nakara",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2926,
"legal_name": "John Lodepe Nakara",
"slug": "john-lodepe-nakara"
},
"content": "wakati jambo lolote limetokea katika maisha yao, tuko tayari kuwasaidia bila gharama kubwa kwa maana wengine wao wanategemea hiyo boda boda kujipatia riziki ya kila siku na wengine wameajiriwa. Hata hizo boda boda siyo zao lakini wanapopata ajali, gharama ya kusafirisha huyo mtu mpaka mahali pa kupata matibabu ni kubwa. Unapata kama ameumia mguu inabidi ukatwe na anakuwa kiwete katika maisha yake."
}