GET /api/v0.1/hansard/entries/561966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 561966,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/561966/?format=api",
    "text_counter": 210,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nakara",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2926,
        "legal_name": "John Lodepe Nakara",
        "slug": "john-lodepe-nakara"
    },
    "content": "maalum ya kujifungua. Utashangaa kusikia kwamba hospitali zingine hazina sehemu maalum ya kujifungua. Wajawazito wanajifungua katika nyumba ya kawaida ambayo haina malazi mazuri hata sakafu haijatengenezwa. Jambo hili linavunja moyo! Watoto wanazaliwa katika hali iliyo mbaya na hata wanaweza kupata ugonjwa. Kila hospitali iwe na sehemu safi na tena iwekwe vitu ambavyo ni vya kisasa na mazingira yawe ya kupendeza."
}