GET /api/v0.1/hansard/entries/561967/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 561967,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/561967/?format=api",
"text_counter": 211,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nakara",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2926,
"legal_name": "John Lodepe Nakara",
"slug": "john-lodepe-nakara"
},
"content": "Ningependa kumalizia kwa kusema ya kwamba katika hizo hospitali pia ni lazima tuwe na wauguzi maana bila wafanyikazi ambao wamehitimu itakuwa vigumu kuhudumia wagonjwa. Kwa mfano, kuna mambo yalitokea katika hospitali moja. Mwanafunzi aliyemsaidia mama kujifungua aliosha mtoto na maji moto na yakamchoma. Ningependa pia Mheshimiwa Abdul ahakikishe ya kwamba tutakapokuwa na hivi vitengo katika kila eneo la Bunge, pia tutakuwa na wauguzi na madaktari wazuri ambao wamehitimu vizuri ili wasaidie katika kupeana huduma hii."
}