GET /api/v0.1/hansard/entries/561968/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 561968,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/561968/?format=api",
    "text_counter": 212,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nakara",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2926,
        "legal_name": "John Lodepe Nakara",
        "slug": "john-lodepe-nakara"
    },
    "content": "Mwisho, jambo la kuhuzunisha ni kwamba utapata kwamba madaktari ambao wamehitimu na wamekuwa katika chuo kikuu, wanapopelekwa katika kaunti zingine kufanya kazi, wanakataliwa. Hakuna njia tunaweza kuondoa ukabila katika nchi hii na kuwa na utengamano kama tunafukuza madaktari ambao wamehitimu. Tusihukumu mtu kwa sababu ya ukabila ama eneo. Tuongee kuhusu jambo hili pia kwa sababu kuna sehemu ambazo hawana watu ambao wamehitimu katika njia kama hizo. Lazima tukubali hawa watu wapelekwe katika sehemu hiyo wafanye kazi kama wahitimu ambao wamemaliza masomo yao kwa njia nzuri. Kwa hivyo, ningependa kukashifu kaunti ambazo zinafukuza wafanyikazi ambao wametumwa mahali pale na Serikali."
}