GET /api/v0.1/hansard/entries/562530/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 562530,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/562530/?format=api",
"text_counter": 183,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Asante sana, Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii. Jambo la muhimu ambalo limetajwa na wenzangu wote ni kwamba kazi yetu ni kutengeneza sheria. Lakini juu ya hayo, sheria huwa imetengenezwa kwenye vipengele. Ukimpelekea vipengele fulani na hakubaliani navyo, yeye pia ana haki kuwarudishia akisema hivyo. Hawezi kuleta hapa insha kwa sababu kazi yetu si kuangalia insha. Kazi yetu ni kuangalia vipengele vya sheria. Hivyo basi, ukiangalia Kipengele 115(4) cha Katiba, utaona kinasema kwamba akiwa hajakubaliana na sisi, atarudisha hiyo sheria hapa na akiirudisha hapa, baada ya sisi kuangalia mapendekezo yake tutapiga kura. Haikusema ni lazima watu wawe asilimia sitini na saba wakati tunaangalia mapendekezo. Kwa hivyo, tunataka Wakenya wote waelewe kwamba Katiba hii ilipopitishwa katika Mwaka wa 2010, Bunge lilikuwa na haki ya kurekebisha yale maswala ambayo yalikuwa yakitutatiza. Tulikataa kufanya hivyo and tukaamua kufanya sarakasi tukisema kwamba---"
}