GET /api/v0.1/hansard/entries/562537/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 562537,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/562537/?format=api",
"text_counter": 190,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Naibu Spika, unajua sikio la kufa halisikii dawa. Katika Mwaka wa 2010, tuliposema tufanye marekebisho fulani, watu hawakutaka kusikiza. Pia, Wabunge waliokuwa hapa hawakutaka kusikiza. Tulikuwa na Mbunge kama Jakoyo Midowo hapa na hakutaka kusikia. Sasa hivi, kuna matatizo kwa sababu hatufurahii yale yaliyo kwenye Katiba. Kama hatufurahii yale yaliyo kwenye Katiba, tuna njia mbili tu. Moja, ni kupata kura asilimia sitini na saba kubadilisha vile Mhe. Rais amependekeza. La sivyo, turudi kwa wananchi na tuwaambie kwamba kipengele hiki hakitufai."
}