GET /api/v0.1/hansard/entries/56303/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 56303,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/56303/?format=api",
"text_counter": 271,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Ningependa kushukuru Kamati ya mhe. Rege na Waziri kwa kukutana na kuongea mambo muhimu sana. Haya ni maswala makubwa yanayohusu nchi yetu. Wizara ya Kawi inategemewa sana na wananchi wa Kenya kwa mambo mengi. Vile vile, ningependa kumshukuru Waziri kwa kazi na bidii yake ya kusambaza umeme katika nchi yetu ya Kenya na kuhakikisha kwamba kila pembe ya nchi inapata umeme."
}