GET /api/v0.1/hansard/entries/563056/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 563056,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563056/?format=api",
    "text_counter": 62,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1022,
        "legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
        "slug": "joyce-wanjalah-lay"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Spika kwa fursa hii. Kwa kweli tumesubiri Ripoti hii kwa muda mrefu. Siku ya leo imewadia. Kitu ambacho wananchi wa Taita Taveta wanaomba ni kwamba haki itendeke. Ripoti inataka kuwe na uchunguzi wa kubaini kama haki ilitendeka kwa wananchi wa Taita Taveta katika kila mashamba ambayo walikuwa wanagawanyiwa kuanzia The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}