GET /api/v0.1/hansard/entries/563058/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 563058,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563058/?format=api",
"text_counter": 64,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1022,
"legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
"slug": "joyce-wanjalah-lay"
},
"content": "Kwa hivyo, Ripoti inavyosema ni kwamba tuweze kuhakikisha ya kwamba tunajua mahali ukweli upo kwa sababu mambo ya mashamba yakiwachwa vile yako, huwa yanaleta shida. Yanaleta umwagaji damu na wananchi wanaanza kukosana wenyewe kwa wenyewe. Saa zingine inaweza kuwa kila kitu kimefanyika kihalali, lakini kwa sababu wananchi hawajaelezewa, hawawezi wakajua mahali ukweli upo. Kwa hivyo, ni vizuri kama kuna ukweli kisheria kuhusu chochote ambacho kilitendeka, tuwakalishe wananchi chini ili waweze kujua sheria na haki zilitendeka wapi."
}