GET /api/v0.1/hansard/entries/563060/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 563060,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563060/?format=api",
    "text_counter": 66,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1022,
        "legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
        "slug": "joyce-wanjalah-lay"
    },
    "content": "Vile vile, Ripoti hii imegusia kuwa mwaka wa 1991, kulikua na wakati ambapo watu wa makonge walivamia mashamba wakakata mimea na chakula chote ambacho kilikua shambani. Huo mwaka, wananchi hawakupata fidia yoyote. Ni vizuri tuangalie hiyo fidia ili wananchi walipwe kwa sababu ni haki yao. Kama walikua wamelima chakula, najua mwaka huo walikaa njaa kwa sababu chakula chao kilikatwa."
}