GET /api/v0.1/hansard/entries/563062/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 563062,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563062/?format=api",
"text_counter": 68,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1022,
"legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
"slug": "joyce-wanjalah-lay"
},
"content": "Pia, kuna wananchi walioumia wakati walikuwa wanapigania mashamba. Walisema kuna wale waliumizwa na wengine wakaumwa na nyoka kwa sababu mahali yale makonge yamefika ni karibu na wananchi na yanaficha nyoka mle ndani. Wananchi wengi waliumwa na nyoka na wengine wakafariki. Kwa hivyo ni vizuri kuhakikisha kuwa haki za hizi familia zimetendeka. Vile vile, Mhe. Spika ulivyosema, kuwe na kamati ya kuhakikisha kwamba jambo hili ambalo limetoka katika Kamati ya Mashamba limefuatiliwa, kuhakikisha ukweli umetendeka na haki imefanyika kwa wananchi wa Taita Taveta."
}