GET /api/v0.1/hansard/entries/563076/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 563076,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563076/?format=api",
    "text_counter": 82,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Mambo ya ardhi yamekuwa ni donda sugu sana hususan katika eneo letu la Pwani. Unapoliangalia kiundani utakuta wenyeji hawafaidiki bali ni watu wanaokuja kwa juu. Naishukuru Kamati ya Ardhi kwa maana imeweza kufika katika maeneo ya kwetu Kwale na tuna imani hivi karibuni wataweza kutoa Ripoti kulingana na yale ambayo wameweza kupata katika The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}