GET /api/v0.1/hansard/entries/563104/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 563104,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563104/?format=api",
    "text_counter": 110,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nassir",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Ningetaka kutoa mfano. Leo hii katika eneo Bunge langu la Mvita ambalo ni eneo linalojulikana ni eneo la kimji, matatizo ambayo yako na shida ambazo ziko pale zikiwemo watu wanaojiita mabwenyenye wa ardhi na wao wenyewe hawapo katika ardhi ile---"
}