GET /api/v0.1/hansard/entries/563114/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 563114,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563114/?format=api",
"text_counter": 120,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Kwanza ni kuwapongeza Wabunge wa Kamati kwa kazi nzuri ile ambayo wamefanya. Ni kazi ambayo sio nyepesi na wameweza kuifanya wakifuata wananchi kule waliko mashinani ili kuweza kupatiwa habari zile zinazoendelea mashinani. Swala la ardhi hapa nchini ni kidonda sugu ambacho sio rahisi kukitibu. Nataka kuwaunga mkono kwa hii kazi ambayo waliofanya ambayo sio nyepesi. Vile vile, natumaini kuwa wataweza kusaidia Serikali kwa kuitumia Ripoti kama hizi ili Serikali iweze kuhakikisha ya kwamba wataweza kurekebisha matatizo yaliyoko hapa nchini."
}