GET /api/v0.1/hansard/entries/563116/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 563116,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563116/?format=api",
    "text_counter": 122,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Wanakamati wamesema kuwa masoroveya waenda waangalie kama maeneo yale yako kwenye shamba au nje ya shamba. Yakionekana kuwa nje ya shamba, wananchi wagawanyiwe sehemu zao. Kama haitawezekana, ikiwa wako ndani ya shamba, Serikali ijitolee kuhakikisha ya kwamba wananchi wamepatiwa sehemu zile kutoka kwa bwana mwenye shamba ili wakae kwa hali ya kutulia wakijua kuwa wako nyumbani kwao."
}