GET /api/v0.1/hansard/entries/563895/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 563895,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563895/?format=api",
"text_counter": 160,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "waondoke kule. Hivi sasa, waalimu wametoka kule na watoto wako nyumbani. Sababu iliyowaelekeza kuondoka haikuwa usalama peke yake, ila pia, walikuwa wanaishi kwa mazingira magumu sana. Walitaka nyongeza ili waweze kuendelea kufanya kazi mahali pale, lakini jibu la Serikali kuu ilikuwa ni kwamba hakuna pesa ya kugharamia yale maisha waliotaka. Chanzo cha shida hii ni nini? Ni wizi wa mali ya umma. Tunaiba mashamba na hata ng’ombe. Mungu aibariki Kenya. Ninaunga mkono."
}