GET /api/v0.1/hansard/entries/565252/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 565252,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/565252/?format=api",
"text_counter": 1271,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nataka pia kuongeza sauti yangu kwa kumpongeza Mwenyekiti aliyesimamia suala hili la maji na mazingira kwa kufanya kazi nzuri, pamoja na Kamati yake. Wamekuwa na uwezo wa kutufanya kazi hii yote. Ningependa kumkumbusha Mhe. Langat kuwa kuna Wabunge wengine kama Mhe. Mbui ambaye amekaa tangu mwanzo mpaka sasa hivi. Vile vile Mwenyekiti, Madam Spika, leo amekuwa hapo akifanya kazi hii ambayo ni muhimu."
}