GET /api/v0.1/hansard/entries/565254/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 565254,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/565254/?format=api",
"text_counter": 1273,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Tunaambiwa siyo desturi sana ya kuwa watulivu maanake muda ulikuwa umeyoyoma. Pia, ningependa kumshukuru sana dadangu Mhe. Amina Abdalla ambaye ni Mwenyekiti kwa sababu wakati huu wa kufunga Ramadhan, siyo rahisi kwa mtu kukaa hapa mpaka mwisho. Maji ni uhai. Kama maji ni uhai, tunaomba kuwa serikali za kaunti ziweze kuhakikisha kwamba wakati wananchi wanapopata maji, wasinyanyaswe. Pia mimi naunga mkono mambo yote ambayo yamefanywa hivi leo."
}