GET /api/v0.1/hansard/entries/565256/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 565256,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/565256/?format=api",
"text_counter": 1275,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Dukicha",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1480,
"legal_name": "Hassan Abdi Dukicha",
"slug": "hassan-abdi-dukicha"
},
"content": "Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Yangu ni kupongeza Kamati ya Mazingira na Mali ya Asili na hasa zaidi Mwenyekiti wake. Swala la maji ni muhimu sana.Kulikuwa na mvutano mwingi sana kati ya serikali za kaunti na Serikali ya Kitaifa kuhusu ni nani atabaki na mambo ya maji. Kama ingekuwa ni kaunti inasimamia kila kitu, watu wengi wetu wangepata shida sana kwa sababu ya kuongezewa ada. Pengine unaambiwa: “Mara hii utapewa pesa hii.” Na kesho unarudishwa. Lazima kuwe na bodi ya kusimamia masuala ya maji. Sio rahisi kufikia hapa. Ni kwa sababu ya bidii ya Kamati ya Mazingira na Mali Asili ambayo inaongozwa na Mheshimiwa Amina---"
}