GET /api/v0.1/hansard/entries/566587/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 566587,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/566587/?format=api",
    "text_counter": 311,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwashetani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa ya kuuchangia Mswada huu, ambao unahusu ugavi wa pesa kwa vyama vya kisiasa. Ningependa pia kuchukua fursa hii kumshukuru Mhe. Chris Wamalwa kwa kuuleta Mswada huu Bungeni kwa sababu, kama Naibu Mkuu wa Chama cha FORD (K), natambua jinsi mambo yalivyokoseka katika sheria ya vyama. Vyama vya kisiasa katika nchi yetu ya Kenya viliundwa kudumisha demokrasia. Tunataka kiwango ambacho yatakikana chama kifikie ili kipate sehemu ya pesa kishukishwe. Hii ni kwa sababu kama FORD(K), hatukuweza kufikia kiwango hicho na tuna The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}