GET /api/v0.1/hansard/entries/567324/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 567324,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/567324/?format=api",
"text_counter": 349,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mhe. Spika, ninamheshimu sana ndugu yangu Kaimenyi kwa sababu ametimiza majukumu yake, lakini kuna mambo ambayo yamemlemea. Hadi sasa shule hazina bodi. Tukiliangazia suala hilo, mutakubaliana nami kwamba huyu bwana amelemewa na majukumu yake. Sina shaka kwamba ndugu yangu Kaimenyi ni msomi. Ana sifa za usomi, lakini tusipotoke kwamba mtu anaweza kutekeleza majukumu kwa sababu ya usomi. La! Majukumu mengine The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}