GET /api/v0.1/hansard/entries/567335/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 567335,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/567335/?format=api",
    "text_counter": 360,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mhe. Spika, naomba tu nimalize kwa kusema kuwa tukubaliane kuwa Kipengele cha 10 cha Katiba kinasema yeyote anaweza kufasiri Katiba. Nimeisoma. Mtu yeyote anaweza kufasiri Katiba. Vile tumeifasiri, tunaomba Bunge lionyeshe huu uwe ni mfano kwa wenzetu ambao wamepewa nafasi za kuhudumia nchi hii. Kama hawaendi kulingana na matakwa ya wananchi, basi Bunge litoe nafasi ya kumuita Kaimenyi aje aangaliwe. Natumai mnaelewa na yale ninasema. Nasema Bunge litoe nafasi Kaimenyi aitwe aje aeleze upande wake maana lazima apewe nafasi. Ndio tunasema kuwa hiyo kamati ikiundwa impe nafasi ajieleze. Kama atapatikana na makosa, ataadhibiwa. Kwa sasa, naomba tukubaliane, tuipitishe hii Hoja ili Kaimenyi apewe nafasi ya kujisafisha. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}