GET /api/v0.1/hansard/entries/567404/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 567404,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/567404/?format=api",
    "text_counter": 429,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Asante sana, mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii. Kwanza ningetaka kumpongeza mhe. Odanga kwa kuleta kilio hiki. Hoja hii ni kilio kile ambacho Wabunge wengi wamekuwa wakilalamika juu ya Mawaziri ambao wamekua na matatizo."
}